Updated News to your hands? Contact Us Join us!
Posts

Fahamu mji mpya unaoibuka kutoka jangwani - Fastestsmm News Swahili

Fahamu mji mpya unaoibuka kutoka jangwani - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, Jack Pearson

Jangwa Nyeusi huwapa wageni mamilioni ya miaka ya historia ya asili na ya binadamu - lakini yote haya yanaweza kubadilika na mipango ya kujenga mji mkuu mpya kwenye ukingo wa jangwa hilo.

Tulikuwa kilomita 30 nje ya Qasr Mushash, kituo cha kale cha mpaka cha Warumi kwenye viunga vya mashariki mwa Amman na eneo la mji mkuu mpya wa Jordan unaopendekezwa.

Milima ya Levant ilikuwa imegeuka kuwa jangwa tambarare, jeusi la volkeno. Ghafla, ndege isiyo na rubani ya kijeshi ilisonga mbele, labda ikiwa njiani kuchunguza uwanja wa vita mahali fulani karibu na Iraq au Syria.

Dakika chache barabarani kulikuwa na Hifadhi ya Ardhi Oevu ya Azraq na Hifadhi ya Wanyamapori ya Shaumari , ambapo tulianza kuziona ndege za kijeshi za mizigo zikiruka juu ya upeo wa macho.

[ad_2] #Fahamu #mji #mpya #unaoibuka #kutoka #jangwani #Fastestsmm #News #Swahili
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.