Updated News to your hands? Contact Us Join us!

Nini kinachofuata baada ya nyambizi ndogo ya Titan kutoweka? - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha,

Maswali mengi yanabaki juu ya kile kilichotokea kwenye Nyambizi ndogo ya Titan ya kampuni ya OceanGate

Uthibitisho kwamba wafanyakazi waliokuwa ndani ya nyambizi ndogo ambayo ilitoweka wakati wa kupiga kwenye ajali ya Titanic karibu wiki moja iliyopita wamekufa wote ina maana kwamba operesheni kubwa ya utafutaji iliyoanzishwa katika maji ya Bahari ya Atlantiki inapewa vipau mbele vipya kwa sasa.

Walinzi wa Pwani wa Marekani walithibitisha siku ya Alhamisi alasiri kwamba wanaume wote watano waliokuwa ndani ya nyambizi hiyo walikufa kufuatia kile ambacho huenda kilikuwa “msiba mbaya” wa nyambizi ndogo kutoka kampuni ya OceanGate inayoendesha safari za kitalii katika eneo ilikozama meli ya Titanic

Lakini maswali mengi kuhusu kile kilichotokea yanabaki bila kujibiwa na kutafuta majibu ni njia mojawapo ya kusonga mbele.

Je, miili itapatikana?

Mkuu wa kikosi cha walinzi wa pwani ya Marekani John Mauger amesema hakuweza kuthibitisha kama Walinzi wa Pwani wa Marekani wataweza kupata miili ya waathiriwa wa tukio hilo au la


#Nini #kinachofuata #baada #nyambizi #ndogo #Titan #kutoweka #Fastestsmm #News #Swahili

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.