Updated News to your hands? Contact Us Join us!
المشاركات

Vita vya Ukraine: Wanajeshi wa mstari wa mbele wanajadili kujibu mapigo ya Urusi - Fastestsmm News Swahili

Vita vya Ukraine: Wanajeshi wa mstari wa mbele wanajadili kujibu mapigo ya Urusi - Fastestsmm News Swahili
Maelezo ya picha,

Oleh alishambuliwa mgogoni

  • Author, Andrew Harding
  • Nafasi, Fastestsmm News

Dawa ya ganzi ilipoanza kuisha, yule askari wa Ukraine – kijana wa miaka 19 aliyejaa matope, alitoa sauti ndogo nyuma ya gari la wagonjwa, kisha akapapasa barakoa yake ya oksijeni na kusema huku akigugumia, "nipe bunduki yangu."

"Mara nyingi huwa ni maumivu makali namna hii," alisema Dkt. Inna Dymitr, akipapasa uso uliopauka wa askari katika gari la wagonjwa likitembea kwa kasi mbali na mstari wa mbele kusini-mashariki mwa Zaporizhzhia.

Jina la askari huyo kijana ni Oleh. Asubuhi hiyo kombora kutoka Urusi lilipiga karibu yake na kuchimbua shimo kubwa.

"Ni askari imara, lakini yuko katika hali mbaya, na tunapata wengi kama yeye," alisema Dkt. Dymitr, akiorodhesha kesi nyingine kama hiyo ya siku za hivi karibuni. Anafanya kazi katika kikundi binafsi cha msaada kinachofadhiliwa na nchi za magharibi, kiitwacho MOAS.

[ad_2] #Vita #vya #Ukraine #Wanajeshi #mstari #mbele #wanajadili #kujibu #mapigo #Urusi #Fastestsmm #News #Swahili
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.